
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipagawisha wakazi wa jiji la London Shoo
iliyoacha gumzo la aina yake nchini humo kutokana na kupata idadi kubwa
ya mashabiki, ilifanyika Jumapili iliyopita katika Ukumbi wa Royal
Regency, maeneo ya Manor Park.
Chanzo
chetu kilichoambatana na msafara wa Diamond kwenye shoo hiyo ijulikanayo
kama Diamond are Forever, kiliweka bayana kuwa shoo hiyo ilikuwa ya
kustaajabisha (amazing) kwani ilikadiriwa kuwa na watu zaidi ya 1500
ambao ni Wabongo waishio nchini humo waliochanganyika na wazungu.
Chapisha Maoni