Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akitia saini wakati wa kukamilisha taratibu za kujiandikisha kwenye
daftari la kudumu la wapiga kura ,Mtama mkoani Lindi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akionyesha kadi yake mpya ya kupiga kura mara baada ya kumaliza
kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura Majengo B, Mtama
mkoani Lindi. Picha na Adam Mzee
Chapisha Maoni