MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadicky, akiongoza kikao
cha RCC, Ilala Boma jijini leo Jumanne Mei 26, 2015. Kwa pamoja kikao
hicho kilichowaleta pamoja, wabunge wote wa Dar es Salaam, wakuu wa
wilaya, wakurugenzi wa Manispaa zote tatu, Temeke, Ilala na Kinondoni,
watendaji wa Manispaa hizo, na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wa
mkoa, kimependekeza kuongezwa kwa majimbo zaidi ya uchaguzi kwenye jiji
hilo lenye wakazi wanaokaribia miulioni 5. Majimbo pendekezwa waliyataja
kuwa ni Kijicho, wilayani Temeke, Chanika wilayani Ilala, Bunju na
Kibamba, wilayani Kinondoni. Mapendekezo hayo uatapelekwa tume ya taifa
ya uchaguzi(NEC), kwa uamuzi wa mwisho.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustin Ndungulile
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kiondoni, Injinia Mussa Nati
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sophia Mjema
Suzan Lyimo
Mkuu wa Mkoa Sadick
Wabunge wa viti maalum wa Dar es Salaam kupitia CCM, Zarina Madabida, (kushoto), na Sophia Simba, wakiteta jambo
Mbunge wa viti maalum kutokawilaya ya Temeke,
Mariam Kisangi,
Wakuu wa vyombo vya dola, mkoa wa Dar es Salaam
Mkuu wa mkoa akisikiliza kwa makini mjadala
Picha kwa hisani ya K-Vis Blog
Chapisha Maoni