0
python-alive
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.
Watu wengi walisogea pia nao kujionea tu jinsi chatu huyo alivyo kwa sababu sio kawaida unaweza kukutana na Chatu alafu akakuacha hivihivi… Siku sita baadae yule chatu alikutwa amekufa, wakaja walinzi wa hifadhi hiyo wakampasua ili kujua nini kilichomfanya afe !!
Python SA
Kumbe chatu alikula nungunungu.. ndani ya tumbo kakutwa nungunungu huyo japo hawana uhakika kama ni kweli nungunungu kasababisha kifo cha chatu huyo.
porcupine_668_600x450Unaweza kujiuliza Chatu alianzaje kula Nungunungu na hiyo miba yote !!
porcupine-deadNungunungu alivyotolewa kwenye tumbo la Chatu
python-alive-2
python-skin-cut-quillsMiba ya Nungunungu iliyokutwa ndani ya tumbo la Chatu.

Chapisha Maoni

 
Top