Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutan wa hadhara
leo, kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba, akiwa katika ziara ya
kukagua uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM. (Picha na Bashir
Nkoromo)
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa
hadhara katika viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba leo, akiwa katika ziara
ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Bukoba
mjini, Hamis Kagasheki (kulia), baada ya mbunge huyo kuhutubia wananci
atika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini
Bukoba mkoani Kagera leo.
Mbunge wa Bukoba mjini Hamis Kagasheki (kushoto) akihutubia wananchi
atika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mashujaa
mjini Bukoba mkoani Kagera.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.