
Wakurugenzi
watendaji na maofisa wa uchaguzi wa Halmashauri za Wilaya Mkoani
Manyara, wakila viapo kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu
la wapiga kura yaliyofanyika jana mjini Babati.

Mchambuzi
mwandamizi wa kompyuta wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) Joseph Mally
akionyesha vifaa vya Biomertic Voter Registration (BVR) vitakavyotumika
kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Mkoani Manyara,
jana mjini Babati.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.