Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akibonyeza kitufe kuashiria
uzinduzi wa Tovuti ya klabu hiyo www.simbasports.co.tz jijini Dar es Salaam. Wengine ni Makamu
wa rais, Geofrey Nyange Kaburu (kushoto waliosimama) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni
ya EAGgroup, Imani Kajula ambaye ni washauri
watekerezaji wa Biashara na Masoko wa Simba. (Picha na Francis Dande)
Rais
wa Klabu ya Simba, Evance Aveva akizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya Simba www.simbasports.co.tz pamoja
na kutangaza ujio wa kocha mpya atakayeinoa timu hiyo, Dylan Kerr raia
wa Malta. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani
Kajula na Mtaalamu wa IT, Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Robert
Lazaro.
Rais
wa Klabu ya Simba, Evance Aveva akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya Simba www.simbasports.co.tz
pamoja na kutangaza ujio wa kocha mpya atakayeinoa timu hiyo, Dylan
Kerr raia wa Malta. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
EAGgroup, Imani Kajula na kulia ni Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey
Nyange 'Kaburu'
Chapisha Maoni