Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia
wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na
wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda
William Mtitu on Instagram
Chapisha Maoni