Ni
mtikisiko wa siku tatu kuanzia leo ambapo CHADEMA itakuwa na matukio
makubwa ya kisiasa.Kila siku kukiwa na tukio kubwa litakalokumbukwa kwa
siku nyingi zijazo kisiasa!
Tukio la kwanza litakuwa ni leo.Ambapo mbunge mmoja mashuhuri kutoka CCM atapokelewa rasmi CHADEMA leo.Kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho Tumaini Makene muda sio mrefu kuanzia sasa kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari ambapo chama hicho kinachounda umoja wa Katiba ya Wananchi-UKAWA kitamtambulisha mbunge huyo rasmi kama mwanachama wake na itaelezwa sababu za kujitoa ndani ya CCM na kujiunga CHADEMA.
Fuatana nasi hapa ambapo tutawaletea taarifa kamili mara mkutano wa waandishi utakapoanza.....
Update 4:55 asubuhSasa ni rasmi Mbunge machachari wa Kahama James Lembeli ametangaza rasmi kujivua uanachama wa CCM na kujiunga na CHADEMA katika mkutano na waandishi wa habari unaoendelea hapa DSM.
Tukio hili pia limeshatangazwa live na Radio one stereo.Ikumbukwe mbunge huyu mpambanaji dhidi ya ufisadi ndiye aliyeongoza kamati teule ya bunge iliyoshughulikia suala la operesheni tokomeza na kusababisha mawaziri wanne kujiuzulu.

CHANZO JF
Chapisha Maoni