0

Polisi wenne wafariki dunia na wengine 6 kujeruhiwa katika maandamano mjini Dallas nchini Marekani


Polisi wanne wafariki dunia nchini Marekani

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti ya kwamba askari polisi wanne wafariki dunia na wengine wa 6 kujeruhiwa na wa 2 miongoni mwao kujeruhiwa vikali katika maandamano  mjini Dallas nchini humo.
Maandamano hayo yalikua ni kwa ajili ya kudhihirisha hasira kufuatia kitendo cha Polisi wa nchini humo  cha kummalizia maisha wa raia wa 2 weusi wa Marekani.
Baada ya tokeo hilo vikosi vya usalama vilifika vinapelekwa katika eneo la tukio.

Chapisha Maoni

 
Top