1

Shirika la matangazo la Kichina StarTimes kuongeza huduma zaidi katika nchi za Afrika


StarTimes kuongeza huduma zake barani Afrika

Shirika la matangazo la Kichina StarTimes limetangaza mpango wa kuongeza huduma zaidi katika nchi za Afrika.
Shirika hilo limefanya makubaliano na satelaiti ya Ufaransa ya Eutelsat Communications ili kuweza kutoa huduma bora zaidi kote barani Afrika.
Msimamizi mkuu wa StarTimes Group Pang Xinxing, alitoa maelezo na kuarifu kwamba shirika hilo pia limeweza kufufua makubaliano yake na satelaiti ya Slovenia kwa ajili ya kupanua soko lake barani Afrika.
StarTimes imekuwa ikitumia satelaiti zake kutoa huduma za matangazo ya kidigitali ya televisheni kwa takriban nchi 13 barani Afrika.

Chapisha Maoni

  1. Borgata Hotel Casino & Spa - DRMCD
    The Borgata Hotel Casino 제천 출장샵 & 제주 출장안마 Spa is conveniently located in Atlantic City and in the Marina District and is 목포 출장샵 a favorite among New Jersey 안동 출장샵 visitors. Rating: 3.6 천안 출장안마 · ‎4,742 reviews

    JibuFuta

 
Top