0
Adhabu ya miaka 10 gerezani kwa kuchinja ng ombe India
 Na TRT SWAHILI
Katika jimbo la Gujarat nchini India sheria imepasishwa kwa mtu yeyote ambae atakutwa na hatia ya kuchinja Ng'ombe.Sheria hio inatoa adhabu ya kifungo cha miaka 7 hadi 10 gerezani kwa mtu yeyote ambae atakutwa na hatia ya kuchinja n gombe.

Kitengo kinachohusika na ulinzi wa wanyama nchini India kimeridhishwa na hatua baada ya sharia hiyo kupitishwa Ijumaa.Vile sharia hilo inamtoza mtu yeyote ambae atakutwa na nyama ya n gombe kiwango cha pesa  1 500 adi 7 500 safarafu za Marekani.

Gavana wa jimbo la Gujarat Pradeepsinh Jadeja amesema kuwa sharia hio imechukuliwa baada ya viongozi wa kihindu kuvikisha ombi lao. Kwa upande mwingine uongozi wa kiislamu katika  eneo la Uttar Pradesh umesema kuwa kitendo hicho kina malengo ya kisiasa.

Chapisha Maoni

 
Top