WAANDISHI
Kumbukumbu la Blogu
-
▼
2017
(
9
)
-
▼
Aprili
(
9
)
- PICHA ZA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA LADY JAY DEE,W...
- MGOMBEA AAHIDI KUBORESHA BIASHARA YA UKAHABA AKISH...
- POLISI WANAWAKE WARUHUSIWA KUVAA HIJABU
- UFAFANUZI JUU YA “UZUSHI” ULIOENEA KWENYE MITANDAO...
- WAANDAMANAJI WALICHOMA MOTO BUNGE NCHINI PARAGUAY
- ZAIDI YA KILO 300 ZA PEMBE ZA NDOVU ZAKAMATWA ZAMBIA
- MIAKA 10 GEREZANI KWA KUCHINJA NG'OMBE
- TANZANIA KUPATA MEGAWATI 400 ZA UMEME KUTOKA ETHIOPIA
- KUFUTWA KAZI ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA NCHINI AFRI...
-
▼
Aprili
(
9
)
MGOMBEA AAHIDI KUBORESHA BIASHARA YA UKAHABA AKISHINDA
Mgombea Ugavana wa Jimbo la Kisumu amewaahidi wapiga kuwa kuwa ataweka mazingira rafiki kwa wanaofanya biashara ya kuuza miili yao (mak...
POLISI WANAWAKE WARUHUSIWA KUVAA HIJABU
Serikali ya Scotland imeidhinisha vazi la hijabu na kulijumuisha kwenye sare za maafisa wa polisi wa kike wa Kiislamu ili kuongeza...
UFAFANUZI JUU YA “UZUSHI” ULIOENEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KUFUKUZWA NCHINI RAIA WA KENYA, WILAYANI LONGIDO, MKOA WA ARUSHA.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI JUU YA...
WAANDAMANAJI WALICHOMA MOTO BUNGE NCHINI PARAGUAY
Waandamanaji walichoma moto bunge nchini Paraguay Na BBC Swahili Waandamanaji huko Paraguay , ...
ZAIDI YA KILO 300 ZA PEMBE ZA NDOVU ZAKAMATWA ZAMBIA
Na TRT Swahili Maafisa wa polisi nchini Zambia wafahamisha kukamata pembe za ndovu pamoja na wawindaji 8 haramu siku ya Ijumaa .Msemaji w...
MIAKA 10 GEREZANI KWA KUCHINJA NG'OMBE
Na TRT SWAHILI Katika jimbo la Gujarat nchini India sheria imepasishwa kwa mtu yeyote ambae atakutwa na hatia ya kuchinja Ng'ombe.She...
TANZANIA KUPATA MEGAWATI 400 ZA UMEME KUTOKA ETHIOPIA
Na Daudi Manongi-MAELEZO. Tanzania inategemea kupata Megawati 400 za umeme kutoka Ethiopia ikiwa ni moja ya makubaliano yaliyofiki...
KUFUTWA KAZI ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA NCHINI AFRIKA KUSINI YASABABISHA MGAWANYIKO WA CHAMA CHA ANC
Aliyekuwa Waziri wa fedha nchini Afrika Kusini Pravin Gordhan Hatua ya rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kumfuta kazi Waziri ...
UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA BAINA YA TANZANIA, UGANDA KUANZA 2017.
Waziri wa nishati wa Uganda Irene Muloni afahamisha kuwa ujenzi wa bomba la mafuta baina ya Uganda na Tanzania utaanza rasmi mwezi Januar...
MITANDAO MINGINE
-
ILA NYIE CCM NI NOMA SANA, YAANI UBAYA UBWELA - Na Said Mwishehe,Michuzi TV NILIKUWA Najiongelesha tu kichwani kuhusu hii CCM basi nikajikuta nacheka tu,ndio kununa siwezi. CCM kwa jinsi walivyo hawa ...Saa 2 zilizopita
-
GERRARD HATA KAMA TUPO AFRIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA, KISOKA - [image: gerrard] Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard amestaafu rasmi kutumikia mchezo wa Soka ikiwa ni baada ya miaka 19 tangu alipocheza mchezo wake wa k...Miaka 8 iliyopita
-
-